VIJANA WA SKAUTI WILAYA YA KINONDONI WAFANIKISHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU.

VIJANA WA SKAUTI WILAYA YA KINONDONI WAFANIKISHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU.

SUNRAY SCOUT OF TANZANIA vijana wa skauti wa wilaya ya kinondoni katika mkoa wa dar es salaam - Tanzania wakiwa kwenye gwaride wakipewa matangazo,ni ilikuwa bunju ambako ulilala mwenge wa uhuru wa tanzania,vijana hao walishiriki kikamilifu katika kufanikisha kukimbiza mwenge wa uhuru katika wilaya yao ya Kinondoni.

Share via

Share