Mkutano wa vijana wa kitaifa wa afya na maendeleo.
Profile picture for user mussa sultani genda_1
United Republic of Tanzania

Mkutano wa vijana wa kitaifa wa afya na maendeleo.

Mkutano huo ulikuwa na lengo la kukutanisha vijana kutokea sehemu mbalimbali mwa tanzania na nchi jirani uliofanyika katika ukumbi wa(Nyerere international conference center)kuanzia tarehe 28 hadi 30/09/2017.mkutano huo ulifunguliwa na Mh Jenista Mwagama waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera,ajira,vijana na walemavu lengo la mkutano huo ni kuzuia mimba za utotoni.matumizi mabaya ya dawa za kulevya pamoja na kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi

Share via

Share