 
THE JOTA JOTI AT TANZANIA.
ndugu wapendwa habarini  nyote  napeda kuwajurisha kuwa jota joti imeisha vizuri kwani vijana wangu wamefunguliwa ukurasa mwingine tena wa mawasiliano ya mitandao wakufunzi walikua makini sana tunamshukuru cc  na mungu awabariki kwa kuwapa vijana elimu adimu Acc HIDAN RICCO na MURTADHWA RASHID.
      
  
      Location
                  
               
 
