
Water safety and Lifesaving
Hapo nlikuwa natoa elimu ya ukoaji kwa wananchi wa KATA YA KIGOGO kuhusu majanga ya maji kama Mafuriko, visimani, baharini, usalama wa maji majumbani, mabwawani nk.
Lakini pia jinsi gani ya kumtoa majeruhi na kumpa huduma ya kwanza hadi kumfikisha hospitali / kituo cha afya.
Tumekubaliana kuwa program endelevu hivyo mjiandae kupokea mialiko mbali mbali ili kusaidiana kufikisha elimu hii kwa pamoja.