WARSHA YA U-REPORT INSTRUCTORS

WARSHA YA U-REPORT INSTRUCTORS

Dare es salaam, 23 March 2017; Vijana na Viongozi wa skauti kutoka mikoa 9 ndani ya Tanzania ambayo ni; Dar es salaam, Manyara, Singida, Mtwara, Mbeya, Njombe, Iringa, Mara na Shinyanga kwa idadi ya washiriki 54, wame kusanyika Jijini Dar es salaam kwaajili ya warsha hiyo ili kuweza kuwa chachu ya mabadilko na kuweza kuifundisha programu hiyo ya U-Report kwa vijana wengine ili kuwapa fursa vijana kuchangia katika kufanya maamuzi na mijadaala mbali mbali ndani ya Tanzania na maisha yao kwa ujumla kwa njia ya mitandao ya simu za mikononi (SmS) ambayo kwa sasa ni Vodacom, Airtel, Zantel na Tigo, ili kushiriki unatakiwa kutuma ujumbe "Sajili" kwenda 15070.

Share via

Share