WAGENI WAALIKWA KATIKA 100 YA SKAUTI TANZANIA
Profile picture for user mussa sultani genda_1
United Republic of Tanzania

WAGENI WAALIKWA KATIKA 100 YA SKAUTI TANZANIA

Katika sherehe za miaka 100 ya skauti tanzania iliyo udhuliwa na viongozi wengi wa serikali wa jamuhuri ya muungano wa tanzania wakiongozwa na Mh.Bi Samia Hassani suluhu ambaye ni makamu wa raisi.hii ilionesha ni jinsi gani skauti wa tanzania wako karibu na serikali pia ahsante ziende kwa viongozi wa skauti kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kuilinda na kuitangaza zaidi skauti.

Share via

Share