USAFI WA MAZINGIRA NA MAFUNZO YA UJUMBE WA AMANI NA MAZINGIRA
Skauti kwa kuona umuhim wa mazingira na Amani waliamua kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ndani ya jamii ya Ifakara,hospitali ya wilaya na sokoni.Hayo yalifanyika kwa ushirikiano wa jamii husika na skauti pamoja na baadhi ya viongozi wa serikali akiwemo Afisa Elim wilaya kwa kufyeka nyasi na uzoaji wa taka kwenye maeneo machafu.Tukio hilo lilileta hamasa sana kwa jamii kwa kuwa ilikuwa ni ushirikiano wa skauti na wao ambapo mwishoni kulikuwa na mafunzo ya mazingira(environment programme and messenger of peace and dialogs for peace training ).Matarajio chanya yamepatikana kwani mazingira yataendelea kutunzwa kwa kujua umuhim wake toka kwenye mafunzo waliyopata.