MAFURIKO YALIYOTOKEA MKOA WA MOROGORO WILAYA YA KILOSA SKAUTI WASAIDIA KUOKOA WATU NA MALI ZAO
Skauti ni mzalendo na pia utekeleza ahadi na kanuni kwa kujitolea kwa jamii yake.hawa ni skauti kutoka mkoa wa dar es salaam walioungana na baadhi ya skauti wenzao kutoka mikoa na wilaya mbali mbali katika kusaidia wakazi wa kilosa waliokumbwa na mafuriko ya maji yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha mkoani kilosa. Huu ndiyo uskauti aliotaka tuufanye mwanzilishi wetu wa skauti wa kujitolea kwa ya dunia hasa katika jamii yako.
Kwahili na kwa kujitolea kwetu ndiyo kuutangaza na kuufanya uskauti uzidi kuwa bora na kuthaminika zaidi
Shukrani ziende kwa uongozi wa skauti(TANZANIA SCOUTS ASSOCIATION)kwa kuweza kuwawezesha vijana wa skauti wa mkoa wa dar es salaam kufika eneo la tukio pia kumshukuru kamishna mkuu wa skauti tanzania kwa mchango wake na uongozi mzima wa kikosi cha maafa taifa(F MAGIGE,KILUSWA,RICCO) n.k kwa kukiwezesha kikosi cha maafa
SKAUTI UIFANYA DUNIA KUWA BORA
Location