MAANDALIZI YA MASHINDANO YA SKAUTI

MAANDALIZI YA MASHINDANO YA SKAUTI

tanzania huwa kunafanyika mashindano kila mwaka kuanzia mwezi wa sita,sana mwezi wa kumi na mbili na pia kunakuwa na mashindano ngazi ya afrika mashariki. Hivyo basi vijana wa skauti wa kikosi cha MADIBA ROVERS CREW kwa mara ya kwanza walishiriki mashindano hayo mwaka 2014 kuanzia ngazi ya wilaya,mkoa na taifa na humo mote walifanikiwa kupita na mwishoni wakashiriki ngazi ya afrijka mashariki nchini RWANDA-KIGALI . sunrayscoutstz.blogspot.com
Number of participants
24
Service hours
24
Location
United Republic of Tanzania

Share via

Share