TANGA

TANGA

chama cha skauti jiji la tanga limekabidhiwa eneo la hifadhi ya bahari ambalo lina miti aina ya mikoko kwa lengo la kutunza hifadhi hiyo na kuendelea kupanda miti hiyo ya mikoko zoezi hilo alilifungua mkuu wa wilaya wa tanga tarhe 17/03/2018 katika shule ya sekondari kihere
Started Ended
Number of participants
330
Service hours
2
Location
United Republic of Tanzania

Share via

Share