project
chama cha skauti jiji la tanga limekabidhiwa eneo la hifadhi ya bahari ambalo lina miti aina ya mikoko kwa lengo la kutunza hifadhi hiyo na kuendelea kupanda miti hiyo ya mikoko
zoezi hilo alilifungua mkuu wa wilaya wa tanga tarhe 17/03/2018 katika shule ya sekondari kihere