tanga city scouts
katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa mwanzilishi wa skaut duniani vijana wa skauti jiji la Tanga inchin Tanzania wameandaa yafuatayo
-kufanya shuli za kijamii kama
.kutembelea vituo vya watoto yatima
.kufanya usafi katika maenoe ya kijamii kama hosptal,sokoni na barabarani
Lengo kubwa hasa ni kuhamisisha jamii juu ya uskauti
kila jumamosi ya mwezi wa pili tunafanya hivyo kwa vituo tofauti tofauti ndani ya jiji la tanga hadi kufikia kilele siku ya tarehe 22/02/ a,bapo siku hiyo kutakuwa na uzinduzi wa kundi jipya la skauti la watu wenye mahitaji maalumu katika shule ya msingi ya watu wenye ulemavu Pongwe