DAR ES SALAAM SCOUT YOUTH FORUM WORK SHOP.

DAR ES SALAAM SCOUT YOUTH FORUM WORK SHOP.

Vijana wa skauti wa mkoa wa dar es salaam kutoka wilaya tatu za mkoa huo wakiwa na viongozi wao wa jukwaa la vijana wa mkoa wa dar es salaam katika scout youth forum work shop ya mkoa wa dar es salaam iliyofanyika tarehe 9 hadi 12 mwaka 2016 katika shule ya sekondari chamanzi katika wilaya ya temeke,work shop hiyo ilihuzuriwa na mwenyekiti wa jukwaa la vijana afrika mashariki ndugu,murtadhwa elbahsain.
Number of participants
10000
Service hours
10000
Location
United Republic of Tanzania
Topics
Personal safety
Youth Programme
SDGS

Share via

Share