Skauti wa kindi la Franciallian wakifanya usafi wa mazingira katika kumuenzi Baba wa Taifa Mwl J. K Nyerere siku ya tarehe 14 mwezi Oktoba mwaka huu 2018.